TANGAZO KWA WANAFUNZI WENYE MULTIPLE SELECTION

November 5, 2020
TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TIA) INAWAKARIBISHA KUJIUNGA TIA KAMPASIZA SINGIDAMWANZAMBEYA NA DAR ES SALAAM. TAFADHALI FANYA UTHIBITISHO MAPEMA KUJIHAKIKISHIA NAFASI YAKO KWA KUINGIA KWENYE TOVUTI YA TIA KATIKA AKAUNTI YAKO YA ONLINE APPLICATION UTAONA LINK YA CONFIRM ADMISSION, INGIZA CODE ULIYOTUMIWA NA TCU KWENYE NAMBA YA SIMU ULIYOTUMIA KUJISAJILI KAMA HUJAPATA CODE, TUMIA LINK ILIYOANDIKWA REQUEST CONFIRMATION CODE NA UENDELEE NA UTARATIBU WA KUTHIBITISHA KAMA HAPO JUU.
TIA NI CHUO CHA SERIKALI KINACHOKUANDAA KIVITENDO KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI TUPIGIE
0764 777 746; 0625 777 744; 0677 777 746 (DAR ES SALAAM, SINGIDA, MBEYA, MWANZA)
0735 502 276 (MBEYA)
0765 099 375 (MWANZA)
KWA ELIMU YENYE UFANISI KARIBU TIA
Vision and Mission
Core Values
Main Functions
Why Choose TIA
MAB Members
Online Application
Online Registration
LMS

Dar campus

Mbeya Campus

Singida Campus

Mtwara Campus

Kigoma Campus

Mwanza Campus

 

History

Services

TIA Journal

TIA Repository

Open Access DB

Subscribed DB

Catalog

 

/*** Collapse the mobile menu - WPress Doctor ****/