Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) DKt.Momole Kasambala anapenda kuutaarifu Umma kuwa TIA itafanya Sherehe za Mahafali ya 19 tarehe 12/11/2021 viwanja vya TIA Mbeya (Bonyeza hapa kufungua kiambatisho)
TAARIFA KWA UMMA – MAHAFALI YA 19 YA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA
November 8, 2021