TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - MBEYA CAMPUS YAFANA

Mgeni Rasimi kwenye Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Dkt. Khatibu Kazungu aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba (MB) akizungumza na Wahitimu,Wahadhiri, Wafanyakazi na Wageni waalikwa katika Mahafali yaliyofanyika Nov 19, 2021 Mkoani Singida.

Slide 1
Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Mwenyekiti wa Bodi (MAB) ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Wakili Saidi M. Chiguma akimkaribisha Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 19 ya TIA, Dkt. Khatibu Kazungu, aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba (MB) , ili afungue Mahafali hayo kwa TIA Kampasi yaSingida Novemba 19,2021.

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Uhasibu wakiwa wameshikilia kofia zao wakati wa kutunukiwa shahada hiyo kwenye Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Novemba 19,2021

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA

Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Masoko na Mahusiano ya Umma wakiwa wameshikilia kofia zao mabegani wakitunukiwa shahada hiyo kwenye Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Novemba 19, 2021.

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Pichani ni Mgeni Rasimi kwenye Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida, Dkt. Khatibu Kazungu, aliyemuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba (MB), akikabidhi zawadi kwa wahitimu waliofanya vizuri zaidi kwenye masomo yao Novemba 19,2021.

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Uhasibu wakicheza na kurusha kofia zao juu kuashiria furaha ya mafanikio yao kwenye Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Novemba 19,2021.

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Meneja wa TIA Kampasi ya Singida Dkt James Mrema akizungumza wakati wa Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Novemba 19,2021.

Slide 1
MAHAFALI YA 19 YA TIA - KAMPASI YA SINGIDA YAFANA

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Dkt. Momole Kasambala akizungumza wakati wa Mahafali ya 19 ya TIA Kampasi ya Singida Novemba 19,2021.

previous arrowprevious arrow
next arrownext arrow

 MASTERS APPLICATION FORM

JOINING INSTRUCTION

FEES PAYMENT MODE

ALUMNI REGISTRATION

TIA PROSPECTUS

GOOGLE SCHOLAR

 NEWS

ALUMNI TESTMONIAL

Saidi A. Majujuka

Bachelor in Public Sector Account and Finance, 2017 - 2020

UPCOMMING EVENTS

November 12 - Mbeya Campus Graduation Ceremony

Day(s)

:

Hour(s)

:

Minute(s)

:

Second(s)

November 19 - Singida Campus Graduation Ceremony

Day(s)

:

Hour(s)

:

Minute(s)

:

Second(s)

December 3 - DSM Campus Graduation Ceremony

Day(s)

:

Hour(s)

:

Minute(s)

:

Second(s)

EXPLORE TIA CAMPUSES