Prof. Carolyne Nombo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) akiweka sahihi kitabu cha Maombolezo katika ukumbi wa Karimjee Machi 20, 2021 kufuatia kifo cha aliyekuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli