TIA YAVUNJA REKODI UPANDAJI MLIMA KILIMANJARO

December 8, 2021
Katika kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru, Wanachuo kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wamevunja rekodi ya kupanda Mlima kilimanjaro kwa siku 3 tu badala ya siku 6 kama ambavyo imezoeleka kwa watu wengine wanaopanda mlima huo.
Wanachuo hao wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania  Innocent George Masanja anayesoma Shahada ya Uongozi wa Rasilimali watu na Fadhili Jonathan Naaman anayesoma Shahada ya Usimamizi wa Biashara wamepanda Mlima Kilimanjaro mapema wiki hii
Tukio hili la kihistoria limeipeperusha bendera ya Taasisi ya Uhasibu (TIA) kitaifa na kimataifa, na hakika TIA inajivunia kuwa na vijana Shupavu, Jasiri na wachapakazi.
Taasisi ya Uhasibu Tanzania itaendelea kutoa elimu yenye ufanisi inayomjenga Mwanachuo kujitegemea na kujiamini ili kuhakikisha anatimiza malengo yake.
Vision and Mission
Core Values
Main Functions
Why Choose TIA
Online Application
Online Registration
LMS
Dar campus
Mbeya Campus
Singida Campus
Mtwara Campus
Kigoma Campus
Mwanza Campus
Tanga campus
Zanzibar Campus

 

History

Services

TIA Journal

TIA Repository

Open Access DB

Subscribed DB

Catalog

 

/*** Collapse the mobile menu - WPress Doctor ****/