TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY

TANGAZO KWA WANACHUO WANAOENDELEA NA MASOMO MWAKA 2022/2023

September 14, 2022

Taasisi inawakaribisha kuendelea na masomo yenu katika muhula wa kwanza mwaka wa masomo 2022/2023 yatakayoanza tarehe 24/10/2022 kwa kozi za Diploma na shahada (mwaka wa II & III). Aidha mnataarifiwa kuwa mnaporudi chuoni mnatakiwa kulipa angalau 30% ya ada ya mwaka ili kuruhusiwa kuingia darasani (bonyeza hapa kusoma zaidi)

/*** Collapse the mobile menu - WPress Doctor ****/