MKUU WA CHUO – TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA)
ANAPENDA KUWAKUMBUSHA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA
TAMISEMI KUFANYA UTHIBITISHO KWENYE TOVUTI
www.nacte.go.tz KABLA YA TAREHE 08/08/2021 ILI
WASIPOTEZE NAFAZI ZAO. PIA DIRISHA LA MAOMBI YA KUJIUNGA
NA KOZI ZA CHETI CHA AWALI, DIPLOMA NA DIGRII KWENYE FANI
ZA UHASIBU, UNUNUZI NA UGAVI, USIMAMIZI WA
BIASHARA, UONGOZI WA RASILIMALI WATU, MASOKO NA
UHUSIANO WA UMMA NA UHASIBU WA UMMA NA FEDHA;
KATIKA KAMPASI ZA KIGOMA, MWANZA, MTWARA, SINGIDA,
MBEYA NA DAR ES SALAAM, BADO LIPO WAZI.
SIFA ZA KUJIUNGA:
CHETI CHA AWALI (CERTIFICATE): MHITIMU KIDATO CHA
NNE MWENYE UFAULU WA ALAMA “D” NNE AU ZAIDI.
STASHAHADA (DIPLOMA): KIDATO CHA SITA MWENYE UFAULU
WA ANGALAU PRINCIPLE MOJA NA SUBSIDIARY MOJA AU NI
MHITIMU WA CHETI CHA AWALI KUTOKA CHUO
KINACHOTAMBULIWA NA NACTE.
SHAHADA (DEGREE):
➢ MHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWENYE UFAULU WA
KUANZIA PRINCIPAL MBILI ZENYE POINT 4.0 AU ZAIDI;
➢ MHITIMU WA DIPLOMA MWENYE GPA KUANZIA 3.0 AU ZAIDI.
MAELEZO ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YETU: WWW.TIA.AC.TZ AU
TUPIGIE: 0764 777 746, 0625 777 744 AU 0677 777 746