TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY

Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) inawatangazia watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 35 za kuhamia katika kada mbalimbali.

March 3, 2022

Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) inawatangazia watumishi wa Umma kuwepo kwa nafasi wazi 35 za kuhamia katika kada mbalimbali. Nafasi hizi zinategemewa kujazwa katika Kampasi zote sita (6) kama inavyoonekana katika mchanganuo.(Bonyeza hapa kuona PDF)

/*** Collapse the mobile menu - WPress Doctor ****/