9/02/2021, Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) ni Wakala wa Serikali chini ya Wizara ya Fedha na Mipango. Kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imepanga kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi na ukarabati wa majengo mbalimbali yaliyopo katika kampasi ya Mbeya kwa kwa mtindo wa nguvu kazi (Force Account).Click Link to view PDF
NAFASI ZA KAZI ZA VIKUNDI VYA UJENZI NA UKARABATI – TANGAZO LINARUDIWA
February 11, 2021