NAFASI ZA HOSTELI

February 11, 2021

AFISA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA Anawatangazia na kuwakaribisha Wanachuo wote wa TIA  DSM, kuomba nafazi za Hosteli zinazopatika na Kijichi majengo yaliyokuwa ya NSSF ambayo kwa sasa yanamilikiwa na Chuo chetu Kilometre 13 kutoka Chuo. Gharama ya Hostelini Tshs120,000 kwa mwaka.

Kwa mawasiliano 0735 522671/0625 777744

/*** Collapse the mobile menu - WPress Doctor ****/